Текст песни Maroon Commandos — Amka Kumekucha

uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaaewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shambahata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shulehata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kaziuvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaaewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shambahata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shulehata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kaziuvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaaewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shambahata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shulehata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kaziuvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifandugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifamwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleoKarani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifauvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifandugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifamwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleoKarani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifahata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi