Текст песни Les Wanyika — Nitafanya Nini

nitafanya nini sasa
ulimwengu wa leo
nitafanya nini sasa
ulimwengu wa leonaona rafiki zangu
wananiandama vibaya
naona rafiki zangu
wananiandama vibayania yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eeh
nia yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eehnikicheka nao
ninaona ni rafiki kumbe ni nyoka
nikicheka nao
ninaona ni rafiki kumbe ni nyokaadui mkubwa duniani
adui mkubwa duniani
adui mkubwa duniani
adui mkubwa dunianimbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamojasasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh
sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eehnashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
nashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamojasasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh
sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eehnashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
nashangaa leo leo mama eeh

Популярные тексты песен Les Wanyika