Текст песни Julianna Kanyamozi — Usiende Mbali

Verse 1
Deka unavyo Deka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi wako oh
Nita zidi kupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usijeniacha mimisolemba
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solembaTunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Sii rahisi amini mimi na wewetukatengana
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Verse 2
Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa hata saa nikaraha
Bila wewe siwezi ishi
Kwako mimi sio mbishi
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanataka mapinduzi na mapinduzihawayawezi ooh ooh
Maumivu ya mapenzi naogopa sanaa
Hata wivu ni noa kwani sina rohoya chuma
Nakusihi usiniache solemba-aa
Najisihi na mimi nisije kuacha wewesolemba
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiendeeee......mimi badonakupenda (2x)
Usiondoke…mimi bado nakupenda(2x)
Nakupenda wanipenda usija
penda
mbali nami
Usiende......mimi bado nakupenda
Usiondoke…mimi bado nakupenda(3x)
Nakupenda wanipenda usija
penda
mbali nami
Usiendeeee......mimi badonakupenda (2x)
Usiondoke…mimi bado nakupenda

Популярные тексты песен Julianna Kanyamozi